{ google_language = "en"; } { google_language = "en"; } MJASIRIAMALI NI MTU GANI ~ MAKI INSPIRE

new

new job

http://go.oclasrv.com/afu.php?id=1313272

MJASIRIAMALI NI MTU GANI

Mjasiriamali ni mtu anayefikiri tofauti na
kiukweli; kila mmoja anafikiri na kujifunza
tofauti. Ndiyo maana mfumo wa elimu rasimi
ambao unalazimisha watu wote kufikiri sawa
unaua kabisa roho na fikra za ujasiriamali.
Wajasiriamali ni watu ambao wanafanya vitu
tofauti na wanakwenda kinyume na mazoea
au mtazamo uliozoeleka kwa watu wengi.
Mara nyingi, wajasiriamali ukataa
kulazimishwa kuishi maisha wanayoishi watu
wengine na pia ukataa kufikiri sawa na watu
wengine, haijalishi ni wengi kiasi gani.
Mfano: Watu wengine wanaambiwa hakuna
kuuza mahindi kuna baa la njaa linakuja,
LAKINI kama mjasiriamali yeye hawezi kukaa
akaamini yale aliyoambiwa na watu wengine,
badala yake atafikiri na kutenda tofauti na
alivyoambiwa. Hapa yeye ataamua kuuza
mahindi yake na pesa itakayopatikana
anaweza kununua mbuzi wenye mimba
ambao baada ya miezi kadhaa watakuwa
wamezaana na kuongezeka maradufu, pia
watakuwa wamepanda thamani kwa kiwango
kikubwa wakati huo, kuliko ambavyo
angeendelea kutunza mahidi.
Mjasiriamali huyu ukimfikiria haraka haraka
unaweza kudhani ni mtu mkorofi, lakini
ukimfikiria kwa mtazamo wa kiujasiriamali
utamuona ni mbunifu wa kuigwa. Kwa kifupi
ni kwamba mjasiriamali ni mtu ambaye
anapenda kutengeneza, kuumba, kutenda,
kuibua kitu kinachojibu changamoto za
wakati huo; siyo kufuata misaafu ya vitabu
vya kanuni zilizotengenezwa na mtu
mwingine
Share:

Related Posts:

No comments:

GET LATEST JOBS and VACANCIES UPDATES VIA EMAIL

Enter your name and e mail.

Get Latest Jobs Vacancies Alert Via Our Facebook Page

LATEST JOBS & VACANCIES