Unatengneza maana pale uwezo wako na vile
unayovipenda vinapokutana na mahitaji ya
jamii. Kufahamu vipaji vyako na kile
upendacho katika maisha ni muhimu, lakini
hilo halitoshi maana hilo ni nusu tu katika
mlinganyo kuzalisha na kuhitaji vitu na
huduma.
Kitu ambacho kinaweza kuwa cha muhimu
zaidi ni kufahamu jamii yako au dunia
inahitaji nini kutoka kwako na jinsi gani
unavyoweza kutumia vipaji na uwezo wako
katika kuzalisha kile unachopaswa kutoa kwa
jamii au dunia
Home »
MOTIVATION AND INSPIRATION ISSUES
» VITU VYA MUHIMU KWA VIPAWA VYAKO
No comments:
Post a Comment