watu ambao
hawawezi kukutia moyo katika
uwezo ulio nao, ila wako pale
kukukatisha tama.Kila unapokuja
na wazo jipya Watakuambia hilo
haliwezekani, ama siku
ukishindwa ni kama vile
walikuwa wanasubiri,watakuwa
wa kwanza kukukambia”Nilijua
tu utafeli,utashidnwa”.
Watu wa namna hii ni hatari
sana kwani huvunja ile hali ya
kujiamini kwako na hukufanya
uone kuwa hautaweza tena
kufanikiwa katika maisha yako.
Hebu kagua maisha yako leo?Je
kuna watu ambao uko nao
karibu ni ni watu wenye sifa
hizo?Kama wapo,waambie
wabadilike lakini ikishindikana
punguza ukaribu nao kwani
maneno yao yanaweza
kukufanya ushindwe kabisa
kufikia ndoto yako
Home »
MOTIVATION AND INSPIRATION ISSUES
» WATU AMBAO HAWAWEZI KUKUTIA MOYO KWA UWEZO ULIO NAO NI WAKUEPUKA SANA
No comments:
Post a Comment