{ google_language = "en"; } { google_language = "en"; } CHUNGUZA MAMBO HAYA KWENYE MAISHA YAKO ,ukirekebisha utafanikiwa ~ MAKI INSPIRE

new

new job

http://go.oclasrv.com/afu.php?id=1313272

CHUNGUZA MAMBO HAYA KWENYE MAISHA YAKO ,ukirekebisha utafanikiwa

Waliofanikiawa Wanachagua
kimkakati watu wa kuwa na
urafiki nao mitandaoni
Miaka miwili iliyopita nilifanya
utafiti mdogo kuona watanzania
wengi wamelike page gani katika
mtandao wa
facebook.Nilishangazwa sana
kuona kuwa watanzania wengi
walikuwa wamelike Zaidi page
za udaku,pombe na
vichekesho.Wachache sana
walikuwa wamelike page zenye
kutoa mafunzo ya kuwasaidia
kujenga uwezo wao ama kupata
ushauri wa kimaisha.
Ni hatari kukuta mtu anaamka
asubuhi na kitu cha kwanza
kufanya ni kuanza kuangalia
skendo mpya zasiku
hiyo,burudani na hata mitandao
ya utupu.Katika dunia ya
leo,mitandao huwa ni sehemu ya
association yetu.
Kuanzia leo kagua magroup ya
watasaap uliyojiunga,Jiulize-
Hivi kila group nililopo lina
msaada kwangu au
linanipotezea muda?Hivi
ninapoamka asubuhi natakiwa
kuangalia page gani za facebook
au kusoma vitu vya aina gani
kujijenga kwa ajili ya mafanikio
ya siku hiyo?
Kama utagundua kuna
pages,watsaap groups au kuna
watu una urafiki nao katika
mitandao wasio na faida,usione
Haya.JIONDOE MARA MOJA.
Je,Unataka kuifikia ndoto
yako?:ZINGATIA UNAAMBATANA
NA WATU WA NAMNA GANI
PHISICALLY NA MITANDAONI
PIA
Share:

Related Posts:

No comments:

GET LATEST JOBS and VACANCIES UPDATES VIA EMAIL

Enter your name and e mail.

Get Latest Jobs Vacancies Alert Via Our Facebook Page

LATEST JOBS & VACANCIES