{ google_language = "en"; } { google_language = "en"; } MATAKWA YA WENGINE KATIKA ZAMA HIZI ZA LEO ~ MAKI INSPIRE

new

new job

http://go.oclasrv.com/afu.php?id=1313272

MATAKWA YA WENGINE KATIKA ZAMA HIZI ZA LEO

Matakwa ya
wengine katika zama hizi za leo ambapo
kuna taarifa kibao zisokuwa na kikomo. Pia
kuna vizuizi vingi visivyoisha, ni rahisi
kutumia muda mwingi katika mabishano na
majibizano.
Ni rahisi sana kukosa umakini katika kazi
kwasababu ya simu au radio, runinga n.k.
Matakwa ya wengine yanayokuja kwako
lazima yatatumia sehemu ya muda wako wa
siku.
Mfano wapo watu watataka kuchati na wewe,
kukupigia simu muongee, wapo watakaotaka
mtoke wote n.k. Ila baada ya miaka kadhaa
vitu utakavyokua unajivunia havitatokana na
matokeo ya kufuata matakwa ya wengine.
Kitu kitakachokupeleka mbele katika maisha
yako ya baadaye ni kile ulichoanzisha leo na
sio ulichoanzishiwa. Usiishi maisha yako kwa
kuwa mtu wa kujibu yanayoendelea
kutendeka badala yake huwe ni mtu wa
kuazisha vitu ambavyo baadaye utakua
unajivunia
Share:

No comments:

GET LATEST JOBS and VACANCIES UPDATES VIA EMAIL

Enter your name and e mail.

Get Latest Jobs Vacancies Alert Via Our Facebook Page

LATEST JOBS & VACANCIES