{ google_language = "en"; } { google_language = "en"; } NILIYOJIFUNZA KWENYE KITABU CHA MEGALIVING ~ MAKI INSPIRE

new

new job

http://go.oclasrv.com/afu.php?id=1313272

NILIYOJIFUNZA KWENYE KITABU CHA MEGALIVING


Niliyojifunza Kwenye Kitabu Cha Megaliving -By Robin Sharma

Habari msomaji Ni matumaini yangu unaendelea vizuri katika safari hii ya mafanikio. Katika safari ya mafanikio kujifunza kila wakati ndio njia ya uhakika ya kukufikisha kwenye mafanikio, na ndio lengo langu
Katika kuhakikisha kwamba tunaelimishana kwelikweli.

kwa ufupi mambo  niliyojifunza kutoka kwenye kitabu . tutaanza na kujifunza kutoka kwenye kitabu kizuri sana cha Megaliving kilichoandikwa na mwandishi mashuhuri duniani Robin Sharma.

Karibu sana:

1. Mafanikio ya nje yanaazia na mafaniko ya ndani.

2. Kama unataka kuongoza kampuni lazima ujifunze kujiongoza wewe kwanza.

3. Watu wengi ni wafungwa wa maisha yao ya nyuma. Lazima tufike mahali tuachane na kua wafungwa wa maisha yaliyopita ili kuanza maisha mapya mazuri

4. Mawazo yangu ya leo ndio yatakayotengeneza ndoto zangu za kesho.

5. Kitu cha kwanza kuepukana na utumwa wa mawazo, ni uelewa. Kwanza anza kwa kutambua mawazo ambayo yamekua yakikurudisha nyuma. Tafuta karatasi yaandike mambo hayo. Halafu weka mikakati ambayo utaitumia kuondokana na mawazo hayo.

6. Orodha ya ndoto. Andika chini orodha ya ndoto ambazo unatamani zitimie maishani mwako

7. Tumezungukwa na utajiri mwingi tu, na wanaoweza kuupata ni wale tu wanaotambua hilo na kua na fikra chanya ambazo zinawasaidia kuona fursa mbalimbali zinazowapelekea kuupata utajiri huo

8. Usijilinganishe na wengine. Kimbia mbio zako mwenyewe

9. Kinachowatenganisha waliofanikiwa na wasiofanikiwa ni hiki; Waliofanikiwa wanayo njaa au kiu kubwa sana ya kupata wazo jipya na maarifa mapya, wakati wasiofanikiwa wanabweteka na hali walio nayo, hawana kiu ya kujifunza vipya.

10. Wasomaji ni viongozi, utakua kiongozi mkubwa pale tu utakapojijengea tabia ya kujiendeleza wewe binafsi kwa kusoma vitabu vizuri kwenye Nyanja husika.

11. Huwezi kuwa mtu mkubwa katika Nyanja yeyote mpaka umeanza kuhisi kua wewe ni mkubwa

12. Washindi ni watu wenye nidhamu ya hali ya juu
Share:

No comments:

GET LATEST JOBS and VACANCIES UPDATES VIA EMAIL

Enter your name and e mail.

Get Latest Jobs Vacancies Alert Via Our Facebook Page

LATEST JOBS & VACANCIES