Fanya vitu kutokana
msukmo wa ndani au hamasa ya ndani
kuliko hamasa ya nje. Hamasa au msukumo
wa nje huwa sio endelevu, hivyo ukiutegmea
siku zote utapotea tu! Na huwa siyo wa
kudumu. Hamasa ya ndani hua ni ya mtu
binafsi.
Hamasa ya ndani ya mtu binafsi, ndio
inayompa mtu nguvu ya kufanya zaidi na
zaidi, hata anapokutana na vikwazo. Mfano
kama unafanya biashara, hamasa ya nje
inawezakuwa ni kutengneza faida kubwa, na
hamasa ya ndani ikawa ni kuwafanya wateja
wako kuwa na furaha au kutoa suruhisho la
matatizo yanayowakabili wateja.
Home »
MOTIVATION AND INSPIRATION ISSUES
» FANYA VITU KUTOKANA NA MSUKUMO WA NDANI YAKO
No comments:
Post a Comment