{ google_language = "en"; } { google_language = "en"; } USIWE MNYONGE, USIHUZUNIKE WALA KUKATA TAMAA ~ MAKI INSPIRE

new

new job

http://go.oclasrv.com/afu.php?id=1313272

USIWE MNYONGE, USIHUZUNIKE WALA KUKATA TAMAA




 


Usiwe mnyonge kwa kukata tamaa eti ulikimbiwa na mke au mume au mchumba au mpenzi au ndugu wako wa karibu au rafiki au
baba au mama ,

Ngoja nikwambie muda mwingine( some time )kuwa na jicho
moja nibora zaidi kuliko kua na macho
mawili refer to the sniper(wadunguaji) huwa wanatumia
jicho moja kurenga zaidi ya km1 na hakosi
so be happy hizo ni changamoto za maisha tu zinakuja na kuondoka ,ziliwatokea wwngi leo hii wengine matajiri wakubwa,wengine viongoz wakubwa wa serikali , jipe moyo yata kwisha tu ndugu yangu na utaiyona kesho yako yenye furaha.
One love


Share:

Related Posts:

No comments:

GET LATEST JOBS and VACANCIES UPDATES VIA EMAIL

Enter your name and e mail.

Get Latest Jobs Vacancies Alert Via Our Facebook Page

LATEST JOBS & VACANCIES