{ google_language = "en"; } { google_language = "en"; } SIRI YA MAFANIKIO YAKO YAPO KWENYE RATIBA YAKO YA SIKU ~ MAKI INSPIRE

new

new job

http://go.oclasrv.com/afu.php?id=1313272

SIRI YA MAFANIKIO YAKO YAPO KWENYE RATIBA YAKO YA SIKU

Matajiri wengi
wanakubaliana na ukweli kuwa
siri ya MAFANIKO ya mtu iko
kwenye ratiba yake ya kila
siku.Karma nataka Kubadilisha
mwelekeo wa maisha
yako,badilisha mambo
unayofanya kila siku maishani
mwako.
Wako wengi walianza kusoma
vitabu mwaka huu
ulipoanza,wengine walianza
mazoezi kwa bidii,wengine
walianza kusave baada ya
kupewa changamoto fulani…
lakini baada ya muda mfupi
hawaendelei tena.JAMBO la
Muhimu la kutambua ni kuwa
unahitaji kuwa n.a. uendelevu
katika kila unachokianzsiha
maishani mwako ili upte faida za
kudumu.Usiishie njiani
Share:

Related Posts:

No comments:

GET LATEST JOBS and VACANCIES UPDATES VIA EMAIL

Enter your name and e mail.

Get Latest Jobs Vacancies Alert Via Our Facebook Page

LATEST JOBS & VACANCIES