{ google_language = "en"; } { google_language = "en"; } MAISHA NI KUJIONGEZA ~ MAKI INSPIRE

new

new job

http://go.oclasrv.com/afu.php?id=1313272

MAISHA NI KUJIONGEZA

Hapa ofisini kwetu
kuna sister huwa analeta matunda anauza....!!
♡♡Kitu fulani amazing sana
Leo nimeamka nina njaa ya pesa na mawazo
tele kama kawa kaniachia matunda yangu
akapita hivi sitayari kashachimba Buku langu
akili imenituma leo kujifunza vijihesabu fulani
hivi ya kutoa na kujumlisha kiaina..!!
Huyu sister kwa siku anatoka na vikontena
200 vya matunda anazungusha kuanzia saa
nne mpaka saa sita..!!
Hesabu za haraka anapata kama faida 250
kwa kila kikontena,mwana akishatoa gharama
zote anabaki na hizo 250 mwana ni ndogo
kishenzi kwa msichana mrembo kinoma
200*250= 50000 kwa siku
50000*6= 300000 kwa wiki
300000*4= 1200000 kwa mwezi
Halipi kodi wala nini..!!
Halafu ana make kinoma kuliko wewe na
degree yako
We endelea kutafuta kazi za kuvaa tai jiandae
kuwa mfanyakazi wa huyu sister soon
 Hongera wapambanaji na wabunifu wa biashara wote, maana nyie ndio mtakuja kupunguza changamoto ya ajira, wala msikate Tamaa Yote yanawezekana
Share:

Related Posts:

No comments:

GET LATEST JOBS and VACANCIES UPDATES VIA EMAIL

Enter your name and e mail.

Get Latest Jobs Vacancies Alert Via Our Facebook Page

LATEST JOBS & VACANCIES