{ google_language = "en"; } { google_language = "en"; } ~ MAKI INSPIRE

new

new job

http://go.oclasrv.com/afu.php?id=1313272
😀🏿Nimeamua kufanya Kazi hii ya. Motivation na inspiration ili niweze
kuwasiliana na Watanzania wenzangu
nikijaribu kupandikiza mbegu ya Ushindi
katika mioyo ya wenzangu waliokata tamaa ,
najua wapo ambao wamejaribu mambo
mengi maishani mwao na hayakutokea kama
walivyotaka, wamekata tamaa na kuamua
kuacha mambo yaende kama yalivyo!
Wameridhika na umasikini bila kuelewa kuna
mtu mkubwa kiasi gani ndani yao. Kama
wewe ni miongoni mwa watu hawa , au ni
mtu ambaye unataka kufikia vilele
mbalimbali maishani mwako, basi Waraka
huu ni wako , USIKOSE KUUSOMA MAKALA ZANGU KWENYE BLOG YA makinspire.blogspot.com KILA SIKU

Binafsi nilipoamua safari ya kutafuta
mafanikio, kitu cha kwanza nilichochagua
kukifanya ni kujielimisha. Sikuwa na sifa
wala elimu ya kutosha kufanya mambo
ninayoyafanya leo , kifupi huu ni muujiza,
ndio maana kila siku namshukuru Mungu.
Wakati mwingine huwa nalazimika kusema
kila kitu kinachotokea maishani mwangu ,
pamoja na juhudi zote ninazofanya, bado
Neema za Mungu zina nafasi yake .
Kwa uamuzi wangu wa kujielimisha,
nikimaanisha kutafuta maarifa ambayo
yangeniwezesha kutoka kwenye umasikini
uliokuwa ukinikabili tangu utotoni na
kusonga mbele, nisingeweza kurejea tena
darasani na kujifunza biashara! Yaani
mwalimu asimame mbele, nyuma yake
kukiwa ubao mweusi na kuandika juu yake
neno “Book Keeping” ndipo nijifunze namna
ya kutunza vitabu vyangu vya mahesabu.
Nilichofanya ni kuchukua uamuzi wa
kusoma sana vitabu vilivyoandikwa na
watu waliofanikiwa katika jambo nililotaka
kufanya, Biashara. Nilisikiliza sana CD na
Kanda za Redio za watu kama Les Brown ,
Robert Kiyosaki , Jim Rohn na wengine
wengi. Hiyo ndiyo ilikuwa kazi yangu;
kujielimisha.
Nilisoma vitabu mpaka leo
hii ninavyoandika waraka huu bado
nasoma vitabu
Share:

Related Posts:

No comments:

GET LATEST JOBS and VACANCIES UPDATES VIA EMAIL

Enter your name and e mail.

Get Latest Jobs Vacancies Alert Via Our Facebook Page

LATEST JOBS & VACANCIES