{ google_language = "en"; } { google_language = "en"; } ~ MAKI INSPIRE

new

new job

http://go.oclasrv.com/afu.php?id=1313272
Mwandishi wa Kitabu kinachoitwa “Seven
Habits of Highly Effective People”, Profesa
Steven Covey ameainisha Tabia saba za watu
wenye mafanikio. Nimeona ni vema
niwashirikishe hizo tabia na naamini
ukizifanyia kazi zitakusaidia.
Tabia 1: Uwe mtu wa kuchukua majukumu na
kuanzisha jambo (be proactive) – Uwe na
msukumo wa kuchukua majukumu.
Tabia 2: Katika jambo lolote anza na lengo
lako kwanza (begin with the end in mind).
Uwe na lengo kwanza, litakuongoza unakotaka
kwenda.
Tabia 3: Kila wakati fanya mambo muhimu
kwanza (put first things first). Zingatia
kwanza malengo yako ya siku nay a muda
mrefu kabla ya kufanya mambo mengine.
Tabia 4: Fikiri mafanikio kwako na kwa
mwenzako pia (think win win). Usiwe mbinafsi,
ukitaka kufanikiwa saidia wengine pia
wafanikiwe.
Tabia 5: Katika jambo lolote jifunze na tafuta
kuelewa kwanza kabla ya kutaka wengine
wakuelewe (seek first to understand before you
seek to be understood). Kusikiliza kwa makini
na kujifunza kwanza ni muhimu kuliko wewe
kusikilizwa.
Tabia 6: Weka nguvu pamoja na wenzako
wenye malengo sawa na wewe (synegize)
Tabia 7: Jifunze kila wakati (sharpen the
saw). Unahitaji kujifunza vitu vipya kila wakati
kama unavyonoa panga, shoka au msumeno.
Kila la heri
Share:

Related Posts:

No comments:

GET LATEST JOBS and VACANCIES UPDATES VIA EMAIL

Enter your name and e mail.

Get Latest Jobs Vacancies Alert Via Our Facebook Page

LATEST JOBS & VACANCIES