Home »
MOTIVATION AND INSPIRATION ISSUES
» NYAKATI NGUMU ZA MAISHA
NYAKATI NGUMU ZA MAISHA
Kuna nyakati katika maisha hazinaga majibu
kabisa lakini ni lazima upitie na ni lazima
Uzishinde japo zinaumiza sana na kuchosha
sana na kuna wakati ata ukasema kwa nini
Mimi tu lakini ni lazima upitie aijalishi
wangap watasimama na wewe au
watakukimbia...Utazame Uso wa Mungu tu
Maana ndipo lilipo jibu na Uponyaji maana
Ata kufa kwetu yeye ndiye anaejua...
Jipe moyo utashinda maana hata usiku uwe mrefu vipi alfajiri itafika tu, alfajiri yako inakuja usikate Tamaa
No comments:
Post a Comment