{ google_language = "en"; } { google_language = "en"; } MAKI INSPIRE

new

new job

http://go.oclasrv.com/afu.php?id=1313272

WATANZANIA NA TABIA YA KULALAMIKA NA KULAUMU, soma hapa kujifunza mengi na kuacha tabia ya kulaumu na kulalamika

Mbona unalalamika kila siku kwamba biashara yako ni ngumu? Kwani wewe ulianzisha biashara yako kwa lengo gani? Malalamiko kutoka kwa wajasiriamali imekuwa ni sehemu ya Maisha yao. Kila unapojaribu kuongea na wajasiriamali lazima usikie malalamiko mengi ikiwemo-- ukosefu wa mitaji ya kuendesha biashara. Watu wanalalamika...
Share:

MAMBO MAZURI MUDA MWINGINE HUPITISHWA KWENYE NJIA MBAYA,soma hapa kujifunza mengi na update hamasa

Hivi umewahi kumuona mdudu kiwavi, kiwavi ni mdudu mwenye sura mbaya sana na mwenye umbo baya sana, kwasababu anapokuwa kwenye harakati za ukuaji anakuwa kama mfano wa jongoo, lakini kitu kimoja ambacho kinanishangaza kutoka kwenye huyu mdudu ni kwamba ni yeye huyu huyu ambae siku moja anakuja kuwa kipepeo, najiuliza...
Share:

JE, NINI CHA KUFANYA USIPOONA MATUNDA YA KAZI UIFANYAYO

Unakumbuka wakati unaanza kazi, kuna vitu ambavyo ulitamani sana kuwa navyo, ulitamani kuwa na chumba chako, angalau chumba na sebule, kitanda, TV, kajiko ka gesi, na vikorokocho vya ndani. Hembu angalia vile vitu kama unavyo au huna na ulivipataje, jiulize baada ya kuvipata pesa ya mshahara uliyotumia kununua...
Share:

FAIDA ZA KUJITAMBUA,soma hapa kujua faida kuu zitokanazo na kujitambua

Kuna faida nyingi sana zinazotokana nakujitambua, chache kati yake ni hizi :1. Kuishi maisha yaliyo kamiliKujitambua kunakupa nafasi yakupanga malengo kutokana na ndotozako maishani. Malengo ndio msingiwa maendeleo. Tatizo ni kuwa wengiwetu tumejawa na hofu, kutojiamini,kuiga, kutojua cha kufanya nakutofahamu umuhimu...
Share:

HUKU NDIKO KUTAJIRIKA KWA KUPATA PESA NYINGI

Kupata pesa nyingi kunahitaji ubunifu wa hali ya juu hasa katika masuala ya uwekezaji. Ubunifu si kitu cha kutazamia bali ni kitu ambacho lazima ufikiri kwanza ndipo ukipate. Hali halisi ya maisha ni kwamba, watu wengi hawapendi michakato ya pesa inayowasumbua akiri zao. Matokeo yake wanaishia kufanya michakato kama ile inayofanywa...
Share:

MAPATO YASIYO NA KIKOMO,soma hapa kujua nini maana ya mapato yasiyo na kikomo

Unapoongelea suala zima la mapato yasiyo na kikomo ni sawa na wewe kufunga bomba la maji mtoni, ili kuleta maji nyumbani kwako. Maji yakishafika nyumbani wewe unayatumia unavyotaka na hayakatiki. Wale wote wasiofikiwa na mabomba ya maji majumbani mwao, wao wanachokifanya ni kuchota maji kwa kutumia vifaa kama ndoo, madumu...
Share:

NYAKATI NGUMU ZA MAISHA, kama kunawakati unapitia kwenye wakati mgumu sikiliza ujumbe huu

makinspire.blogspot....
Share:

USHAURI WANGU KWAKO

(1)Kamwe usidharau kidogo ulichonacho kwani kitaweza kukuzalishia kikubwa. (2)Mpenzi wako akikuacha wakati umepatwa na shida mwambie "umeniacha kwa shida zangu maana hujui nilikotoka na pia nakushukuru kwa kua umenipa nafasi ya kuja kufurahia raha zangu mwenyewe baadae". (3) Mtu akikuzarau kwa kua huna kitu...
Share:

UMUHIMU WA KUWA NA MAALIFA KICHWANI KWAKO,jua umuhimu wa maalifa maishani kwako

Kila maarifa yaliyopo kichwani ya kazi yake. tumekuwa tukienda kuomba kazi na kufanya usaili kwenye maofisi ya watu mbali mbali ili mradi tupate ajira. Unapokwenda kwenye usaili mara nyingi hauingii na hata karatasi, lengo kubwa linakuwa ni kujua una uwezo na maarifa kiasi gani kuhusu ulichokisoma na kama unaweza kuleta...
Share:

KAMA SI LEO KESHO YATATIMIA USIKATE TAMAA

KAMA SI LEO, KESHO YATATIMIA Jana usiku nikiwa najisomea nilikutana na msemo huu (If you want to hide something from a black man, put it in a book), ambao ulinitia hasira kidogo na kunifanya nijiulize mara mbili mbili kwanini. Msemo huu miaka ya nyuma ulitumika nchini Marekani ambapo ulikuwa una lengo la kuwabagua watu...
Share:

USUKATE TAMAA, PAMBANA

 Nilisoma historia ya mwanasayansi mmoja Thomas Edson ambaye ndiye aliyegundua taa/bulb za umeme ikanitia moyo sana. Huyu bwana alifanya majaribio 10,000 ili aweze kugundua taa tunazozitumia leo na yote yakafeli. Watu wakamwambia sasa ni vizuri ukaachana na hilo jaribio maana umefeli vya kutosha. Huyu bwana akasema...
Share:

WEKA MAKENGO

Anza kuwa na malengo, ili akili yako ifanye kazi vizuri nilazima ijue inafanya kazi kwaajili gani? Nilazima uiwekee malengo nah ii itakusaidia sana kuona fursa zinazokuzunguka. Kama ambavyo huwezi kwenda chooni bila kubanwa na haja ndivyo hivyo hivyo huwezi kununua kiwanja au kufungua biashara kama huna mpoango...
Share:

MJUE KIJANA ALIYEANZA KUMILIKI KAMPUNI AKIWA NA MIAKA 16,msome hapa kumjua

Kuna kijana anaitwa odense miaka 22 kutoka nchini Uganda anaeitwa Andrew Mapuya. Andrew anatokea katika famili ya chini sana ambapo mwaka 2008 wazazi wake woote walisimamishwa kazi.Jambo ambalo lilipelekea nyumbani maisha kuwa magumu.Wakati huo akiwa na miaka 16 na ni mwanafunzi wa sekondari ikawa inamlazimu aokote chupa za plastic auze na anunue chakula...
Share:

BADILI UNAVYOWAZA KAMA UNATAKA FANIKIWA

Kama untaka kufanikiwa ni lazima ubadili namna unavyowaza. Acha kuangalia mshahara au kipato chako kidogo kama kikwazo bali kama fursa. Usiangalie nalipwa kidogo hivyo siwezi hili na lile bali angalia kuwa nalipwa kaisi flani hiki kinaweza kuwa kianzio cha kufanya moja, mbili, tatu. Hakuna mshahara mdogo wala mkubwa bali...
Share:

Usikate tamaa mwanaliaza dada Heather Dorniden alianguka chini akainuka akashinda na kuwa wakwanza

makinspire.blogspot....
Share:

NINI CHA KUFANYA USIPOONA MATUNDA YA KAZI UIFANYAYO

Unakumbuka wakati unaanza kazi, kuna vitu ambavyo ulitamani sana kuwa navyo, ulitamani kuwa na chumba chako, angalau chumba na sebule, kitanda, TV, kajiko ka gesi, na vikorokocho vya ndani. Hembu angalia vile vitu kama unavyo au huna na ulivipataje, jiulize baada ya kuvipata pesa ya mshahara uliyotumia kununua vile vitu...
Share:

UNAFURAIA KAZI YAKO??

JE UNAFURAHA NA KAZI YAKO?? UKIONA PAYSLIP MWISHO WA MWEZI UNAFURAHI AU UNAKUNJA USO??? Kama majibu ni ndio unafurahia basi hongera sana na endelea na kama ni hapana basi jiulize UNAHITAJI KUWA NA FURAHA AU HUZUNI?????? Kuna watu mwisho wa mwezi ukifika na mshahara unapotoka hatuna furaha na tukiangalia payslip tunakunja uso kwani pesa zote zinapita...
Share:

PESA ZAKO ZINAENDA WAPI

Pesa Zako Zinaenda Wapi? Hili ni swali ambalo karibu kila mfanyakazi hujiuliza hasa wale ambao hawanywi pombe au si watu wa kuhonga, hawana matumizi ya anasa ya kuonekana. Kwa wafanyakazi wengi bila kujali matumizi yao yakoje hujikuta mwisho wa mwezi hawana kitu na husubiria mishahara kwa hamu. Angalau wale watu wa anasa...
Share:

ANZA BIASHARA KWA LENGO LA KUTOA HUDUMA BORA SIO PESA

Anza biashara kwa lengo la kutoa huduma bora na si kwa malengo ya kupata pesa nyingi. Tofauti ya haya mawili nikuwa kama lengo lako la msingi ni kutoa huduma bora, tuseme unafanya biashara ya nyanya na una malengo ya kuhakikisha kuwa wateja wako wanapata nyanya nzuri na kwa wakati, kwa kutimiza malengo yako itawalazimisha...
Share:

FIKIRIA NAMNA YA KUCHUKUA HATUA BILA KUCHELEWA

Hufikiri namna ya KUCHUKUA HATUA BILA KUCHELEWA . Watu wanaofanikiwa ni watu ambao huchukua hatua za kutekeleza yale waliyojifunza na wameyaamini.Watu waliofanikiwa si watu wa maneno mengi mengi bali ni watu wa vitendo vingi vingi,huwa na hali ya uharaka kwa kila jambo muhimu(sense of urgency). Kila siku hujiuliza,leo nifanye nini bila kuchelewa ili...
Share:

MWANZO NI MGUMU, msome huyu kijana wa kitanzania mwenye umri mdogo alifanikiwa kipesa

VIJANA wengi wamekuwa wakikimbia kilimo vijijini wakidhani kuwa hakina faida yoyote. Hawafahamu kuwa siku zote mwanzo ni mgumu kwani hata waliofanikiwa awali walikuwa maskini na hawakuwahi kufikiria kama watakuja kuwa matajiri wakubwa duniani. Kilimo na biashara ni miongoni mwa vitu vilivyochangia utajiri wa watu wengi...
Share:

HAYA NDIO MAZARA YA KUSEMA NA KUAMINI HUWEZI

Mtu anapoamini kwamba hawezi, anayaambia mawazo yake ya kina yamsaidie kumfanya ashindwe zaidi kwenye kila jaribio analofanya. Badala ya kufanya juhudi kujisaidia ili amudu, hujipweteka kwa kuamini kwake kwamba hata kama atafanya kitu gani, kamwe hatamudu. Siyo rahisi kwa mtu mwenye mawazo ya aina hii kuweza...
Share:

BILA SHAKA WENGI MNAMFAHAMU MWANAMZIKI HUYU WA KIMAREKANI

Bila shaka watu wengi mnamfahamu mwanamuziki wa Kimarekani, Katy Perry lakini inawezekana haufahamu kule alipotoka mpaka kuwa hapo alipo kwa sasa. Mwaka 1999, Perry aliamua kuachana na shule na kujiingiza katika uimbaji. Asili yake ilikuwa ni muimbaji wa nyimbo za injili, aliyelelewa kiroho na wazazi wake waliokuwa walokole...
Share:

GET LATEST JOBS and VACANCIES UPDATES VIA EMAIL

Enter your name and e mail.

Get Latest Jobs Vacancies Alert Via Our Facebook Page

LATEST JOBS & VACANCIES